Reader Settings

Yule Director aliyeitwa Kamara alijikuta akikunja ndita kwa namna ya kufikiria kama vile mtu mwenye wasiwasi.
“Isije ikawa ni kwa sababu umepigia simu polisi, ndiyo maana wakaamua kutuma jeshi?”

“Sidhani kama ni hivyo. Kwanza, ndiyo nimewasiliana na polisi sasa hivi. Na pia, kwa nini iwe ni jeshi?” aliongea yule Wema.

Upande wa Chibu, alijikuta akicheka kwa sauti kubwa mno, kisha akaongea:
“Lazima huyu ni godfather wangu. Kama …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next