Reader Settings

Hamza aliweza kuona ilikuwa ni simu kutoka kwa Regina. Alijihisi wasiwasi, na haraka sana akapokea huku akijisafisha koo kabla ya kuongea.

“Hello, wife... kuna tatizo?”

“Uko wapi?” aliuliza Regina kwa ukauzu.

“Ee...” Hamza alijikuta akihangaika, akishindwa aongee ukweli au uongo.

“Potezea,” aliongea Regina moja kwa moja. “Sina mudi ya kusikiliza ulipo, ila njoo huku hospitalini kwenye chumba cha mikutano, floor ya tatu,utawala. Kuna jambo nataka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next