Reader Settings

Hamza, mara baada ya kuachana na Regina, alienda moja kwa moja nyumbani kujiandaa na safari.
Kutokana na mpangilio wa safari, walipaswa kwanza kupanda treni ambayo ingewashushia karibu na mkoa wa Dodoma, ili kuendelea na zoezi la ugawaji wa misaada kwenye vituo vya kulelea yatima, na kisha safari ya kwenda Iringa vijijini ingeanza mara moja.

Hamza, mara baada ya kufika nyumbani, aliweza kumkuta Shangazi akiwa amekaa sebuleni …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next