Yule stesheni master, mara baada ya kushika kadi ile haraka sana, alianza kuichunguza kwa umakini. Macho yake yalisimama kwenye nembo ya taifa iliyokuwa kwenye kadi hiyo.
Ni muda uleule hali ya jasho ilianza kutokota kwenye paji lake la uso, huku kwa wakati mmoja kadi ile ikiwa nzito na kuishikilia kwa mikono yote miwili kwa namna ya kutetemeka.
“Sir... naweza kufahamu jina lako?”
“Jina si limeandikwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments