Hamza aliishia kutuliza hasira na maumivu yake, na kisha palepale akajituliza na kutoa maagizo.
“Mchukueni Dina, mpelekeni Clouds Hotel. Mtapokelewa na Yulia. Nawasiliana naye hapa ili amfanyie Dina uchunguzi, aone kama anaweza kufanya kitu.”
“Sawa! Lakini vipi kuhusu wewe, shemeji?” aliuliza Lau.
Hamza, macho yake yakiwa yamejaa dhamira ya kuua, palepale akauliza,
“Vipi kuhusu huyu Bruno, hajaongea chochote?”
“Yule mshenzi, tumejaribu kumpa mateso ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments