Hamza hakushangazwa na simu hiyo. Isitoshe, si muda mfupi tu uliopita alikuwa amewasiliana na Wizara ya Ulinzi. Ilikuwa ni suala la kutegemea kwa waziri kumtaarifu Afande Simba.
Mara tu baada ya kupokea simu, palepale aliongea.
“Kama una suala unataka kuongea, ongea. Nina haraka sana.”
“Nini kimetokea juu ya huyo bwana Bruno, na vipi kuhusu hali ya Dina?” Afande Simba alikuwa ameambiwa juu ya Hamza kumkamata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments