Reader Settings

Hamza, mara baada ya kuacha kuwazia kumshambulia msichana huyo, ni palepale maumivu yake ya kichwa yakaacha.

“Umekwisha jua, mimi tayari ni mwenza wako ambaye tumefungwa na agano pamoja. Unawezaje kunishambulia? Siku nyingine usiwe mjinga. Ukijaribu kunishambulia, kichwa chako kitauma mpaka utajihisi kichaa. Nakuonea sana huruma, haha,” aliongea Genduleza huku akicheka.

Hamza alijikuta akifikiria kidogo, na kisha palepale akauliza:

“Kwahiyo umetega uchawi wako kwenye ubongo wangu?”

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next