Hamza hakutaka kumfanya Regina ajisikie vibaya kwa kushindwa kutatua tatizo kama hilo , isitoshe aliona ni kawaida kwake kutojua cha kufanya mara baada ya kuishiwa na mafuta njiani kwa mwanamke ambae hana uzoefu.
Kwasababu sheri haikuwa mbali Hamza alimwambia Regina apande kwenye gari aliokuja nayo na akifika sheri mbele awaambie wamletee mafuta na kisha yeye atangulie nyumbani kwani haina haja ya kurudi nyuma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments