Jina langu naitwa Patrick Mosimane, ni mtoto yatima ambaye mpaka leo sijijui nyumbani kwetu ni wapi nadhani ni moja ya wale watoto ambao huwa wanatelekezwa na familia zao, nawachukia sana wazazi wangu japo nilisha wasamehe kwa kunifanya kushindwa kabisa hata kuwajua tu angalau huenda ningejihisi mwenye babati sana, nimeanza kujielewa usiku mmoja ilikuwa inanyesha mvua ya kawaida tu siku ile kutokana na kutokuwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments