Hamza, mara baada ya kusikia mrembo huyo anataka kumpeleka, aliishia kugeuka na kuuliza:
“Kwanini unataka kunipeleka, wakati ulikuwa hutaki sasa hivi?”
“Sio kama nataka kukupeleka, ni kwa sababu uru wangu anataka kuonana na wewe.”
“Uru wako! Unamaanisha Mwanamwali Mkuu?” aliuliza Hamza huku akikunja sura na kuendelea kuuliza. “Kama alitaka kukutana na mimi, kwanini hakujitokeza mapema?”
“Kwa sababu mwanzo hukuwa mmoja wetu, lakini sasa umekuwa mwanaume …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments