Reader Settings

“What the f*ck , Fundi umechanganyikiwa?, hivi unaijua dola elfu arobaini wewe?”Aliongea Alex kwa nguvu akishindwa kabisa kuvumilia.

Regina pia baada ya kusikia kauli hio kutoka kwa fundi huyo aliona atakuwa amechanganyikiwa pia, inakuwaje fidia iwe kubwa hivyo, alijikuta akigeuza shingo yake na kumwangalia Hamza na kumkuta alikuwa amekunja mikono yake akiwa hana wasiwasi kabisa na kengele ya kuumbuka iligonga katika kichwa chake maana ni …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next