Reader Settings

“Mlinzi wa kulia, unamaanisha nini kusema hivyo?” aliuliza Genduleza.

Mwanaume aliyekuwa mbele yake ndiye alikuwa mlinzi wa kulia, Vahera Thalum, wa himaya hiyo ya watu wa Bikra Takatifu. Alikuwa ni bwana mwenye kipara, alievalia joho mfano wa mavazi ya Kinaijeria, huku akiwa na skafu iliyopita mabegani yenye udarizi wa nyoka.

Walinzi hao walikuwa na mgawanyiko wa majukumu—wa kushoto kazi yake ilikuwa kudili na mambo ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next