Joka lile, wakati lilivyotaka kuachia shambulizi kali zaidi kwenda kwa Hamza, ghafla lilisitisha mara baada ya kuhisi msisimko wa nguvu ya ufunuo wa mwili.
Palepale, yale macho yake ya kitenesi yalianza kupungua ukubwa wake, na pia mwili wake mkubwa ni kama ulianza kuwa mdogo—kama vile mwanzo ulikuwa umejaa upepo, na sasa upepo huo ulikuwa ukitoka.
“Wooo..!!”
Joka lile lilitoa ngurumo kubwa katika hali fulani ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments