Reader Settings

Mara baada ya mfuatano wa kushangilia kwa wazee hao wasaliti, jeshi la watu wa Bikra Takatifu walijikuta wakijawa na wasiwasi.

Bi Uru alikuwa na hasira kiasi kwamba mishipa ya damu ilikuwa imejitokeza usoni; aliishia kuongea kwa hasira.

“Leo ninakwenda kuwakamata nyie wasaliti kwa pigo moja tu. Waumini wote wa dhehebu letu, nisikilizeni—unganeni na mimi kuua hawa wasaliti!”

Kabla hata hajamaliza kuongea, mwanamwali huyo mzee alikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next