Mara baada ya muda mfupi kupita, Genduleza na Uru Umwasi walipotoka kwenye mshituko, walihisi sauti waliyoisikia ilikuwa ya mtu waliyemfahamu.
Chini ya macho ya watu wote—zaidi ya mia waliokuwepo hapo—hatimaye waliweza kumuona mwanaume akitembea kutoka nyuma ya joka lile, huku akipangusa maji yaliyoloanisha nywele zake na mavazi.
Hamza, mwili wake wote ulikuwa umeloana, na kulikuwa na matope mengi yaliyogandiana na nguo zake, pamoja na madoa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments