DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★
Francis alikuwa ndani ya kumbi ile ya starehe aliyopendelea kuwa mara nyingi usiku huu, akiwa ameketi peke yake sehemu ya maVIP kwa kungoja taarifa kutoka kwake Chomoka. Bila kuwazia ni namna gani mambo yalivyokuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments