“Kimya!” aliongea bibi yule kwa namna ya kukaripia, huku akizidi kukandamiza mkono wake kwenye tumbo la Genduleza.
“Kama hutaki kuona master wako nikipatwa na mlipuko wa nguvu zangu mwenyewe, unapaswa kutulia kwa adabu na kufuata ninachokifanya.”
Muda huo Genduleza alikuwa akifahamu hawezi kusogea kizembe, hivyo aliishia kuvumilia maumivu ya moyo wake huku akifumba macho.
Hamza, aliyekuwa amesimama pembeni, aliishia kukunja sura wakati akishuhudia tukio hilo. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments