Ndani ya muda mfupi, Hamza aliweza kumfikisha Genduleza ndani ya hoteli anayoishi Yulia. Licha ya mrembo huyo kuwa katika hali mbaya kutokana na Hamza kuendesha gari kwa spidi, Hamza hakujali kabisa.
Alimchukua moja kwa moja na kwenda naye kwenye maabara ya Yulia.
Yulia, mara baada ya kumuona Genduleza, macho yake yalichanua. Baada ya kufikiria kidogo, alijua kinachoendelea na akauliza palepale:
“Wewe ndiyo unatokea dhehebu la Bikra Takatifu?”
Genduleza, mara …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments