MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI
★★★★★★★★★★★★★★
"JC!" Bertha akalia huku akifumba macho kwa nguvu.
Nikamnyooshea mkono askari huyo na kusema, "Kaka... ngoja... Bertha anaumia, unaweza... inaweza..."
"Aaah... aah!" Bertha akazidisha kelele za maumivu, askari huyo akimkaza zaidi.
"Kaka, tafadhali mwachie, anaweza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments