Hamza, mara baada ya kusikia kauli hiyo ya Dina, alijikuta moyo wake ukidunda kama ngoma.
“Dina, unataka kuongea naye nini?”
“Usiwe na wasiwasi. Sitomuua, najua hutaki nimuue,” aliongea Dina, akichezesha macho yake akimwangalia Hamza.
Hamza aliishia kurudisha tabasamu lililojaa soni, kisha akaongea kwa kujibaraguza.
“Kwanini sitaki… huyo mwanamke ni shetani kweli, ni kwamba tu nashindwa kumshikisha adabu...”
“Oh! Kama ni hivyo basi nitaenda kumuua sasa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments