Kwasababu hakuwa ameonana na mke wake kwa siku kadhaa, Hamza alikuwa amemmisi sana moyoni mwake. Hata hivyo, kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea, hakupata hata muda wa kuwasiliana naye kwa simu.
Mara baada ya kufika nyumbani, ilikuwa ni muda wa chakula cha usiku na Shangazi alikuwa amekwisha kuandaa mezani.
Hamza, mara baada ya kuingia, aliweza kumuona mzee aliyemtambua akiwa mezani.
“Babu!?”
Hamza, mara baada ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments