Reader Settings

Mara baada ya Mzee Mhinde kuulizwa hivyo na Regina, aliishia kukataa kwa mkono.

“Unafikiria mbali, Hamza hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.”

“Babu, unapaswa kupumzika mapema sasa. Humjui tu alivyo, nitajua namna ya kukabiliana na hili mwenyewe,” aliongea Regina.

“Kuna kipi kinachoweza kutokea kati ya mume na mke? Ni chuki ipi isioweza kusameheka?” aliongea mzee huyo kwa sauti ya hatia huku mawazo yake yakionekana kwenda mbali.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next