Ni upande wa nyumbani kwa Jemadari. Anga lilikuwa ndio kwanza limegeuka na kuwa giza.
Ndani ya jiko, kundi la wafanyakazi—wanaume na wanawake—walikuwa wamejikusanya pamoja, wakimwangalia mwanamke aliyekuwa amechuchumaa chini akidili na nyoka wa kijani kwa kumchuna ngozi yake ya juu.
“Madam Fionna, kuendelea hivi ni kujichosha tu. Tuachie sisi hii kazi,” aliongea kijakazi akimsihi Fionna awapishe waendelee na kazi hio.
Fionna muda huo alikuwa amevalia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments