Reader Settings

Hamza, mara baada ya kusoma taarifa alizokuwa amepatiwa na Yulia, alipata mawazo mbalimbali ambayo yangemuwezesha kumuamsha Angel. Alichohitaji kwa muda huo ni mbinu ama teknolojia yenye mafanikio makubwa zaidi. Hata hivyo, Hamza alishaona kabisa kuwa hakuwa mbali na kufanikisha suala hilo.

Usiku nao ulipita haraka haraka. Asubuhi, mara baada ya kuoga, Hamza alishuka na kupata kifungua kinywa na familia yote: yeye, Belda, Regina na Babu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next