Reader Settings

Hamza, bila wasiwasi kabisa, akiwa juu ya joka, alisogezwa mpaka kando ya ziwa na kisha akaruka chini.

Ingawa joka lile lilikuwa tiifu, kwa watu wote waliokuwepo hapo, walishasogea mita kadhaa nyuma kwa kuhofia kuwa nalo karibu.

“Hubby, wewe ni noma. Yaani hadi joka linakusikiliza?” aliongea Dina, ambaye alionekana kumkubali sana Hamza.

“Labda ni kwa sababu mimi ni handsome... wewe unaonaje nilivyo?” aliongea Hamza kwa kucheka.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next