Mara baada ya kusikia hivyo, yule mfanyakazi alitingisha kichwa chake kwa nguvu kukataa.
“Nyie wafanyakazi, nawashauri muache kumkasirisha godfather wangu... matokeo yake ni makubwa nje ya mnavyodhani,” aliongea Chibu.
Mara baada ya kuona wafanyakazi hao wakiwa hawana jinsi, Regina alijikuta akivuta pumzi ya masikitiko.
“Hakuna shida, nitawaachia,” aliongea Regina.
Kauli hiyo haikumaanisha kwamba alikuwa akimuogopa tajiri huyo. Isitoshe, Regina ndiye aliyekuwa mmiliki wa Binamu, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments