Ni muda ule, wafanyakazi ama wahudumu wa ukumbi huo, kitengo cha mapokezi, waliwasogelea mabosi wale wa kizungu na kuonyesha heshima zao za ukaribisho.
“You two, please take your seats at the VIP table in the first row,” aliongea mfanyakazi aliyesogea.
Mara baada ya Pino kusikia hivyo, aliishia kuonyesha mkono wa kukataa.
“Haina haja. Nitakaa hapa, siti yangu kabidhi mtu aliyepaswa kukaa hapa.”
“Hata mimi pia nitaketi hapa,” aliongea Pietro.
Wafanyakazi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments