Hamza mara baada ya kurudi , aliweza kukuta keki ya Walda imekwisha kufika na watu wote walikuwa wamekusanyika kuzunguka wakiwa tayari kuimba wimbo wa Birthday.
Hamza na yeye pia aliishia kusogea na kuanza kupiga nao makofi na kuimba.
Mara baada ya Walda kuzima mshumaa palepale alitoa shukrani zake kwa marafiki zake.
“Asanteni sana kwa kuja kwenye sherehe ya birthday yangu . Tunyweni na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments