Reader Settings

Regina Madilu.

Ndani ya uwanja wa wa ndege wa kimataifa wa Nyerere , jijini Dar es Saalam, alionekana Dastani akiwa ndani ya gari kando kabisa na magari ya Abiria maarufu kama Taksi , Bolt au Uber.

Kanali gari ambalo alikuwa amesimamisha lilikuwa pia na Banner , ilionyesha ni gari inayotumika kwa ajii ya usafiri wa Bolt Deluxe.

Tokea afike ndani ya eneo hilo …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next