Ndani ya hilo jumba ambalo lilikuwa ni yard kubwa ya magari ya tajiri huyo aliweza kufika na msaafara wake, alishuka na kuongoza moja kwa moja ndani ya hilo jengo. Mbele yake alikuwa anawaangalia vijana sita ambao walikuwa wamegeuzwa vichwa vyao viko chini na miguu yao ipo juu wakiwa wananing'inia kwenye kamba nzito walizokuwa wamefungwa, walilia sana kuomba kusamehewa nadhani walikuwa wamechelewa sana kufanya hayo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments