Reader Settings

Wageni wengi hawakuelewa na walijikuta wakiwa na maswali mengi. Bosi Tido alikuwa mtu mkubwa sana ambaye alikuwa na mkono mrefu serikalini. Sasa walijiuliza: yaani Regina na mume wake walikuwa na thamani kiasi cha kampuni hiyo kutaka kuingia kwenye ugomvi na bosi huyo?

“Nani kakupa mamlaka ya kunifukuza? Bosi Nikos mwenyewe akiwa mbele yangu anakuwa mpole, wewe unajiona nani?” aliongea Bosi Tido kwa hasira.

“Samahani, Mr., …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next