Regina hakuongea chochote zaidi ya kusimama taratibu, kisha kwa upole akapitisha mkono kwenye kiuno cha Hamza. Uso wake mteke ulikuwa umekiagamia kifua cha Hamza ambacho kilikosa shati, na kisha kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni aliita:
“Hamza!”
Ingawa mwanamke huyo hakumuita "Hubby" kama ambavyo amezoea hivi karibuni, kwa jinsi jina hilo la Hamza lilivyotajwa, lilisisimua mno mwili wake. Kwa mara ya kwanza, Hamza aligundua kuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments