Reader Settings

"Ile ilikuwa ni moja ya kazi ngumu sana kwangu kumlinda yule mwanamke, nilikuwa sina la kufanya kwa sababu kama ningemkataa ingekuwa ni hatari sana kwangu hivyo sikuwa na namna zaidi ya kukikubali kile ambacho alikihitaji yeye kwangu rasmi tukaingia kwenye mahusiano ambayo baadae ilikuja ikashindikana kuyavunja kabisa. Maisha mapya yalianza alikuwa mtu mwenye furaha sana yule bibie kuwa namimi huku familia yake ikiwa inajua …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next