Hamza aliishia kushangaa, akijiambia: mtu mwenyewe ni mwanamke tu, ni kipi cha kumfanya kuwa makini nacho?
“Kiufupi, Lucifer, kwa vyovyote vile kitakachotokea, unapaswa kukumbuka Sophia ni mwanamke mwema sana na siyo mwovu. Amekuwa katika mstari wa mbele kwenye kutoa misaada, akisaidia watu wengi wenye maisha duni ndani ya bara lako la Afrika,” aliongea Sebastiani.
“Nimekuelewa. Sasa niambie mara moja ni wapi alipo. Kadri tunavyochelewesha hili, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments