MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Tulipoingia ndani humo, Qadira akaniongoza moja kwa moja kuyaelekea masofa sehemu yenye usebule kwenye chumba hicho chenye mandhari nzuri na ghali sana. Mpangilio wake ulikuwa wa unyumbani zaidi, nikiona mlango mwingine mbele ambao …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments