Reader Settings

The Red sister’s

Ikiwa ni muda wa jua kuzama ndani ya nchi ya Tanzania , hakukuwa na mabadliko ya muda katika maeneo ya bahari ya Hindi yanayopakana na nchi za Somalia , Tanzania na Kenya.

Wakati miale ya mwanga wa jua ikiwa imesambaa juu bahari iliokuwa tulivu na kutengeneza mnunurisho kuvutia , katika meli ya maharamia wa The Shark , alionekana Kapteni Kenny …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next