Ufunguo wa uhuru
Anna mara baada ya kumuona Yonesi akiwa amejiwekea kisu shingoni alikasirika na kuanza kumfokea.
“Yonesi hebu acha ukichaaa wako na weka hicho kisu chini”Aliongea
Upande mwingne Regina pia aliweza kuona tukio lile la Yonesi kujiwekea kisu shingoni na hakuafiki pia kile anachopanga kufanya.
“Yonesi usifanye ujinga kwa kukurupuka , hawawezi kunifanya chochote wanatishia tu”Aliongea Regina na kumfanya ninja aliemuwekewa kisu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments