Hamza, mara baada tu ya kufungua video aliyotumiwa na Regina, aliweza kumuona mwanaume aliyekuwa amevalia koti refu lenye kofia iliyoziba uso, akiibukia kutoka upande wa kushoto wa kona karibu kabisa na makao makuu ya Bafodil.
Mara baada ya kuona kamera ilikuwa ikimulika, aliinua mkono wake, na palepale ukungu wa nishati nyekundu kama damu ulienea kwenye skrini. Kamera ile ilionekana kuharibika.
“Hii video haionekani vizuri, ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments