Reader Settings

Hamza hakuthubutu kuleta uzembe hata kidogo, na hakuwa na jinsi zaidi ya kutumia mapigo ya kusudi. Hivyo shambulizi lake la kusudi lilikwenda kuvaana na shambulizi la Sophia na kutengeneza mtikisiko mkubwa.

Kila mmoja aliyekuwa kwenye deki alihisi ubaridi ukimpitia mgongoni, baada ya kuona nguvu hizo mbili zikivaana.

Sebastiani hakutegemea kama Hamza alikuwa na nguvu za kutosha kupambana na mtu kama Sophia kwa urahisi.

Ieleweke kwamba …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next