Reader Settings

MIMI NA MIMI 4

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★


Sasa tukawa ndani ya chumba alichotunzwa Vera, mke wa Batundui. Kilikuwa moja kati ya vyumba vikubwa zaidi hotelini hapo, ambacho nadhani gharama yake ingekuwa nyingi sana kulipia kwa makazi ya siku nyingi.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 3 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next