Reader Settings

Regina mara baada ya kufikiria namna ambavyo Hamza alikuwa akifanya na Anna kwenye sofa mchana kweupe alianza kupatwa na hali ya kusita na kujiuliza au sio kama ambavyo amemfikiria hapo mwanzo.

Alijiuliza pengine hisia nzuri alizokuwa nazo juu yake zilikuwa ni mtazamo wake tu na sio uhalisia wa tabia ya Hamza.

Regina alikuwa na mgogoro wa nafsi kwa wakati huo , alijua asingeweza kumzuia Hamza …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next