Reader Settings

Ni ile tu wakati Oleg alitaka kuuliwa, wimbi zito la kimajisi liliweza kutumwa na Friji. Ilikuwa kitendo cha haraka sana; maji yaliyokuwa mbele ya Oleg yalianza kuganda kwa kasi kubwa na kutengeneza ukuta.

Hata pigo lile la Hamza, baada ya kuvaana na ukuta ule wa barafu, lilishindwa kupita na kilichosikika ni kishindo tu.

“Bam!”

Mara baada ya pigo lile kutopoa barafu kwa mita kadhaa, nguvu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next