Ilichukua muda kwa Hamza kusharabu taarifa hiyo. Kwa sababu ingawa tokea mwanzo alikuwa akiujua Sally ni uzao wa Strigoi na Jini, hakutarajia kama baba yake Sally atakuwa mtu wa kizazi cha tatu cha Strigoi kutoka kizazi cha kale.
“Sasa kama Sally baba yake alikuwa ni mwenye cheo, kwa nini bado mkamkabidhi kwa Old Ones na kupelekea kuteseka kiasi chote kile tokea akiwa mdogo?” aliuliza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments