DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Ikawa katikati ya usiku wa mapumziko, upande wake Paulina. Mwanamke huyu alijipumzisha kwa kulala godoroni, likiwekwa chini ndani ya sebule kama ilivyokuwa kawaida. Halima, Joan, na mumewe walilala kwenye chumba chao, yaani cha ndani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments