Mara baada ya Sebastiani kuuliza swali hilo, hata Hamza pia alijikuta akifikiria kwa mshangao. Ukweli ni kwamba suala hilo halikuwa na uhusiano wowote na Armagedon. Au walitaka kumwachia huru Lovran au Cross? Je, kati ya hao mabwana wawili, yupi mmoja wao angewasaidia?
“Mfalme Armagedon, adui yake mkubwa ni watu wa uungu wa kale. Hivyo ndiyo maana hawakutuma watu wengi kuja kudili na sisi. Kwa kuangalia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments