Hamza aliweza kuhisi mabadiliko makubwa ya mwili wake, kwa kitendo cha kuingia kwenye mgawanyiko. Hata morali yake iliongezeka maradufu, na alikuwa na hamu kubwa ya kuonyesha uwezo wake.
Mbinu ya mgawanyiko kwa hakika ilikuwa ya kutisha. Kadri nguvu zake za ndani zilivyozidi kuongezeka, ni kama alizidi kuelewa zaidi siri za mbinu hiyo.
Mwanzoni Hamza alijua mgawanyiko ni mbinu ambayo inaongeza nguvu ya mwili, lakini muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments