Hamza mara baada ya kuangalia kwa umakini aliweza kumuona mtu huyo na alishangaa baada ya kugundua alikuwa ni mzee wa miaka kama hamsini hivi.
Baada ya kumsogelea Hamza karibu zaidi aliingiza mkono kwenye mfuko wake wa suruali na kisha alitoa miwani na kuivaa.
“Kijana ujasiri wako sio wa kawaida , kitendo cha kuingia katika eneo la hatari kama hili na kuleta vurugu sijawahi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments