Alikuwa ni mwanaume aliye na ngozi iliyopauka sana, huku akiwa hana kinweleo hata kimoja mwilini. Alionekana kana kwamba alikuwa na umri wa miaka hamsini au sitini hivi. Ingawa hakuonekana kama kijana, bado alikuwa na mwonekano wa kitanashati. Urefu wake, nywele zake za kahawia zilizokuwa ndefu zikidondoka kufikia kiuno, vilimfanya kuonekana tofauti.
“Lovran, my brother, hatimaye nimekuokoa!” Nicholas alishindwa kuficha furaha yake usoni.
Ndio, mwanaume aliye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments