Reader Settings

Mara tu baada ya kumgeuza maiti kavu yule mwanajeshi, mwanaume yule alitoa mwonekano wa kuridhika na damu yake. Palepale alianza kupeleka pua zake hewani kama mbwa ambaye amegundua uwepo wa kitu.

Na mara baada ya hisia zake kumwambia anachokiwaza ni sahihi, palepale aliachia shambulizi la kiganja cha mkono kushambulia moja ya mbao za nyumba zilizokuwa mbele yake.

Mara baada ya kupasua ukuta wa nyumba, ni …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next