Hamza alijikuta akishangaa mara baada ya kumwangalia Regina , kwa mwonekano wa Regina , ilikuwa ni dhahiri alikuwa akimfahamu huyo mwanaume , lakini mtu huyo hakuonekana kuwa mdogo. Kulinganisha na Regina kulikuwa na utofauti ambao ni zaidi ya mbingu na ardhi , na Hamza alijiuliza inakuwaje wakawa wanafahamiana?.
“Regina! Najua ni wewe , acha kunikimbia baba yako”Aliongea yule mwanaume ambae alionekana kulewa kiasi.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments